Published March 8, 2024, 12:21 a.m. by Courtney
Simba SC imechezea kichapo cha mabao 2-1 kutoka kwa tanzania Prisons, katika mchezo wa ligi kuu ya NBC uliopigwa kwenye Dimba la Jamhuri, Morogoro.
magoli yote mawili ya tanzania Prisons yamefungwa na Samson Mbangula dakika ya 45 na 62 huku goli pekee la Simba likipatikana dakika ya 89 kupitia kwa Fabrice ngoma.
You may also like to read about:
2CUTURL
Created in 2013, 2CUTURL has been on the forefront of entertainment and breaking news. Our editorial staff delivers high quality articles, video, documentary and live along with multi-platform content.
© 2CUTURL. All Rights Reserved.